- Start
- Kinga ya Rushwa
Kinga ya Rushwa
Angebote / Angebote:
Mama amepata mimba wakati kensa ya rushwa imeenea nchini. Hospitali huwezi ukatibiwa bila kutoa hongo, madereva hawajali sheria za barabara kwa sababu watahonga, shuleni hongo inaamua kama mtoto atachukuliwa au la. Kuna kinga yoyote ya uovu huu? Mtoto atazaliwa katika hali gani?
Libri-Titel folgt in ca. 2 Arbeitstagen