info@buecher-doppler.ch
056 222 53 47
Warenkorb
Ihr Warenkorb ist leer.
Gesamt
0,00 CHF
  • Start
  • Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru! Zanzibar Na Mapinduzi YA Afrabia

Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru! Zanzibar Na Mapinduzi YA Afrabia

Angebote / Angebote:

Kitabu hichi ni kidoto kisichokua na mrengo na ni mlango wa herufi ya nuni wenye kuelezea upande mwengine kabisa wa hadithi ya Mapinduzi ya Zanzibar na historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndani ya kitabu hichi mtakuna kwa mara ya kwanza na Jemedari halisi wa Mapinduzi ya Zanzibar ambaye si Mzee Abeid Amani Karume, wala si "Field Marshall" John Okello, na wala si Komredi Abdulrahman Babu.
Folgt in ca. 15 Arbeitstagen

Preis

58,90 CHF

Artikel, die Sie kürzlich angesehen haben