info@buecher-doppler.ch
056 222 53 47
Warenkorb
Ihr Warenkorb ist leer.
Gesamt
0,00 CHF
  • Start
  • Maswali na Majibu

Maswali na Majibu

Angebote / Angebote:

Wakati wa miaka hiyo ishirini alikuwa akiulizwa maswali mengi kutoka katika Biblia na maswali mengine yalitokana na imani zao kulingana na mafundisho, baadhi ya maswali yamerudiwa rudiwa kuulizwa. Inafikiriwa kuwa majibu ya maswali haya yatakuwa msaada wa maana sana kwa wengine kwa hiyo kitabu hiki kimeandikiwa ikiwa ni mkusanyiko wa majibu ya maswali ambayo yaliulizwa mara nyingi. Hii siyo njia ya kujaribu kuyajibu maswli yote ya viongozi wa dini, kwa hiyo, soma kitabu kiitwacho Maandiko Magumu kilichoandikwa na Ron Abel. Hiki kitabu kimekusudiwa ili kujibu maswali ya watu wa kawaida.
Folgt in ca. 10 Arbeitstagen

Preis

14,90 CHF

Artikel, die Sie kürzlich angesehen haben