- Start
- UHURU ULIVYOPORWA
UHURU ULIVYOPORWA
Angebote / Angebote:
Mfumo tawala umeendelea kutawala Watanzania kwa nguvu kwa sababu ya hofu, na sasa nawaambia Watanzania wajue kuwa hawana sababu ya kuhofu mfumo huo tena kwani wao ndio wanaouweka mfumo huo ili mfumo huo uwatumikie na si wao wautumikie mfumo.
Folgt in ca. 15 Arbeitstagen